Back to home
Msitu wa Kaptagat una vyanzo vya mito saba muhimu nchini ambapo uhifadhi wake una umuhimu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
2h ago
Msitu wa Kaptagat ulioko katika kaunti za Elgeyo Marakwet na Uasin Gishu ni chanzo cha mito 7 muhimu nchini. Serikali imeweka bayana umuhimu wa kuweka ua kwenye msitu huo kama njia moja ya kulinda mazingira na vyanzo vya maji ....kufikia sasa serikali imeanza kuwapa wakazi ng'o
