Back to home

Timu 40 kutoka wadi tano za Langata kushiriki kwenye mchuano wa Abbas Super Cup

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Timu 40 kutoka wadi tano za eneo bunge la Lang’ata zitashiriki makala ya kwanza ya mashindano ya soka ya Abbas Super Cup yatakayong’oa nanga Novemba 10 na kutamatika Disemba 13 ugani Nyayo hapa Nairobi. Mashindano hayo yananuiwa kukuza vipaji vya soka kutoka mashinani.