Back to home
Ripoti ya Umoja wa Afrika yasema uchaguzi wa Tanzania haukuwa huru wala wa haki
video
C
Citizen TV (Youtube)November 6, 2025
3h ago
Wachunguzi wa Muungano wa Umoja wa Afrika sasa wanasema kuwa uchaguzi wa Tanzania haukuwa wa huru na haki. Ripoti ya Umoja huu wa AU ikisema kuwa, uchaguzi huo ulikumbwa na udanganyifu uliompa rais Samia Suluhu ushindi mkubwa. Ripoti inaangazia kesi za kujaza madebe ya kura, kuzi





