Back to home

Serikali yathibitisha kifo cha Mkenya aliyeuawa Tanzania, yaahidi haki kwa familia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Serikali imethibitisha kuwa Mkenya mmoja aliuawa nchini tanzania wakati wa machafuko ya baada ya uchaguzi nchini humo. Katibu wa wizara ya mashauri ya kigeni Raymond Omollo, aidha amesema serikali inafanya uchunguzi wa kina ili familia ya marehemu John Okoth Ogutu, aliyekuwa akif