Back to home

Walimu walalamikia kuhamishwa mbali na makazi yao

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
2h ago
Walimu chini ya muungano ya walimu KNUT wamelalamikia kuendelea kuwepo kwa mfumo wa kuwahamisha walimu kufanya kazi mbali na makazi yao, licha ya bunge la kitaifa kuondoa utaratibu huo.