Back to home

Maafisa wa EACC wawakamata polisi 5 wakipokea hongo Busia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
2h ago
Wakazi pamoja na wahudumu wa magari ya uchukuzi katika kaunti ya Busia wameshabikia kukamatwa kwa askari watano wa trafiki waliokuwa wakiwashurutisha madereva kutoa hongo katika kizuizi cha barabarani kilichoko kwenye barabara kuu ya Busia kwenda Kisumu.