Back to home

Serikali ya kaunti kushirikiana na kamati ya ardhi ya jamii

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 7, 2025
5h ago
Serikali ya kaunti ya Taita Taveta imesema itashirikiana na kamati za mashamba ya kijamii ili mashamba hayo yaweze kunufaisha jamii hasa katika uchimbaji wa madini na ufugaji.