Back to home

Muungano wa wafanyikazi wa ulinzi wa kibinafsi watia saini makubaliano ya pamoja na kampuni ya G4S

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 7, 2025
2h ago
Muungano wa Wafanyakazi wa ulinzi wa kibinafsi KNPSWU umetia saini makubaliano ya pamoja ya kazi maarufu CBA na kampuni ya G4S kuhakikisha utekelezaji wa mishahara ya chini kwa wafanyakazi wao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told