Back to home
Uhuru awataka viongozi waache siasa za makabiliano, awasisitizia kujumuisha vijana katika uongozi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 7, 2025
5h ago
Kinara wa chama cha Jubilee, Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta ametoa wito kwa viongozi kuwacha siasa za makabiliano na badala yake kuwasilisha sera zao kwa wakenya. Akizungumza katika mkutano wa wajumbe wa chama hicho kutoka kaunti ya Murang'a mjini Thika, Uhuru aliyeandamana na naibu




