Back to home
Shinikizo za Mudavadi na Uhuru zamsukuma Museveni kuwaachilia wanaharakati Njagi na Oyoo
video
C
Citizen TV (Youtube)November 8, 2025
2h ago
Ilichukua shinikizo nyingi za kidiplomasia kutoka kwa mkuu wa mawaziri Musalia Mudavadi na hata juhudi kutoka kwa rais mstaafu Uhuru Kenyatta kwa serikali ya Uganda kuwaachilia wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo. Haya ni kwa mujibu wa mashirika mbalimbali ya kutetea haki za




