Back to home

Viongozi wa upinzani wamshutumu Rais Ruto kwa kuzorotesha sekta muhimu na kuongeza gharama ya maisha

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 9, 2025
2h ago
Viongozi wa upinzani wamemshutumu Rais William Ruto kwa kile wanachodai ni kuharibu sekta muhimu za taifa ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wake. Wanasema elimu, afya na biashara zimezorota, huku wananchi wakikabiliwa na gharama ya juu ya maisha. Viongozi hawa wakijumu