Back to home
Wakazi wa Bonde la ufa wamehimizwa kusalimisha silaha haramu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
3h ago
Wakazi wa eneo la North Rift ambao wanamiliki Bunduki haramu wametakiwa kurejesha silaha hizo kabla ya muda wa msamaha uliotangazwa na serikali kukamilika. Naibu Kamishna wa Kaunti ya Mukutani, Mike Wangila, amesema machifu wanashirikiana na wananchi kutoa hamasisho ya kurejesha





