Back to home

Mtoto wa miaka 6 afariki baada ya kuanguka mtoni Ilbisil

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 10, 2025
3h ago
Mtoto wa miaka sita amekufa maji baada ya kutumbukia ndani ya mto mjini Ilbissil, kaunti ya Kajiado. Inadaiwa mkasa huo ulitokea mtoto huyo alipokuwa akicheza na wenzake.