Back to home
Familia moja Kilifi yadai haki kutokana na kuvamiwa na kufurushwa kwao
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
2h ago
Familia moja katika eneo la Serena kaunti ya Kilifi inalilia haki baada ya makaazi yao kuvunjwa na kisha wao kufurushwa.





