Back to home
Aliyekuwa Rais wa Botswana akosoa ushindi wa Rais Suluhu
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
1h ago
Aliyekuwa Rais wa Botswana Ian Khama ameshutumu kuapishwa kwa Rais wa Tanzania Suluhu Hassan akisema kuwa hatambui kuchaguliwa kwake kwani amejilazimisha kusalia uongozini kwa kuwakandamiza raia wa Tanzania katika uchaguzi ulioshuhudia vifo vya mamia ya watanzania. Khama alikuwa





