Back to home
Walimu waitaka DCI kuchunguza kifo tatanishi cha mwalimu mkuu Simon Isiaho
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 10, 2025
2h ago
Miungano ya kutetea maslahi ya walimu wa nchini KUPPET na ule wa walimu wakuu wa shule za sekondari KESSHA sasa wanaitaka idara ya upelelezi DCI na inspekta generali wa polisi kuharakisha mchakato wa uchunguzi kwenye kifo tatanishi cha mwalimu mkuu Simon Isiaho wa shule ya sekond



