Back to home

Seneta Cherargei aunga mkono utekaji nyara wa wakenya

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 10, 2025
2h ago
Seneta wa Nandi Samson Cherargei ameunga mkono utekaji nyara na dhuluma dhidi ya wanaharakati Bob Njagi na Nicholas Oyoo nchini Uganda na kusema Kenya inapaswa kuwaadhibu zaidi.