Back to home
Zaidi ya walezi 200 wa watoto kutoka kaunti ya Uasin Gishu wapokea mafunzo kuhusu malezi bora
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 10, 2025
3h ago
Zaidi ya walezi 200 wa watoto kutoka maeneo ya kaunti ya Uasin Gishu walipokea mafunzo kuhusu malezi bora, ikiwa ni sehemu ya juhudi zinazoendelea za kuimarisha huduma za malezi ya watoto, kikuu zaidi kikiwa ni usalama, haswa wakati huu wa likizo ndefu.
Subscribe and watch NTV K




