Back to home
Mudavadi awaonya wakenya wasijiingize katika siasa za nchi nyingine
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
2h ago
Mkuu wa mawaziri na waziri wa mashauri ya kigeni Musalia Mudavadi sasa anawataka wakenya kukoma kuingilia siasa au kupigania haki za mataifa mengine. Akirejelea visa vya wakenya waliotekwa nyara na kuzuiliwa karibuni mataifa ya Uganda na Tanzania, Mudavadi amesema hakuna uhakika




