Back to home
Visa vya uhalifu vimeripotiwa kushuka katika miaka 5
video
C
Citizen TV (Youtube)November 11, 2025
2h ago
Visa vya uhalifu nchini vimepungua kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka mitano hadi chini ya laki moja. Hata hivyo, takwimu za ripoti ya utekelezaji wa haki nchini zinaonyesha kuwa kesi za mashambulizi, wizi, na dawa za kulevya zimezidi, huku visa vinavyowahusisha maafisa





