Back to home
Matamshi ya Seneta wa Nandi Samson Cherargei yakosolewa na kanisa la KAG
video
C
Citizen TV (Youtube)November 11, 2025
2h ago
Seneta wa Nandi Samson Cherargei alijipata mashakani kutokana na matamshi yake ya kuunga mkono utekaji nyara wa wanaharakati wa kenya kwenye mataifa jirani. Cherargei aliyezungumza kanisani huko Kapsabet siku ya jumapili alipongeza viongozi wa Uganda na Tanzania kwa kukabiliana n





