Back to home

Wakazi wamtaka rais kupiga jeki ujenzi wa daraja la Enziu, Mwingi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 11, 2025
2h ago
Wakazi wa maeno ya Nguni Nuu na Mutitu huko Mwingi kaunti ya Kitui wamemtaka rais William Ruto kuingilia kati kwenye ujezi wa daraja la enziu ambalo kazi yake imekuwa ikiendezwa polepole.