Back to home
Viongozi wa kidini wapongeza mradi wa Nyota Kakamega
video
C
Citizen TV (Youtube)November 11, 2025
1h ago
Viongozi kutoka kaunti ya Kakamega wanazidi kutoa hisia tofauti baada ya Rais William Ruto kuzindua mpango wa kuwapa vijana pesa za kujiendeleza kibiashara chini ya mradi wa Nyota.




