Back to home

Wakulima kutoka Machakos wasema wamepuuzwa kwenye kongamano kuhusu mabadiliko ya tabianchi Brazil

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 11, 2025
2h ago
Kadri mazungumzo ya kimataifa kuhusu mabadiliko ya tabianchi yanavyoendelea mjini Belém, Brazil, wakulima wadogo eneo la Muvuti, Kaunti ya Machakos, wanasema sauti zao zinatengwa licha ya wao kuwa miongoni mwa wanaoathirika zaidi na janga hili.