Back to home
Awamu ya tatu ya mchuano wa kombe la Gavana Wavinya yaingia wiki ya nne
video
C
Citizen TV (Youtube)November 11, 2025
2h ago
Awamu ya tatu ya mchuano wa gavana Wavinya iliingia wiki yake ya nane huku timu kutoka Mumbuni Kaskazini, kaewa ya juu na ile ya chini zikipigania tiketi za kufuzu hatua ya gatuzi dogo.




