Back to home

Gavana wa Meru azindua mashindano ya michezo

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 13, 2025
2h ago
Gavana wa Meru Isaac Mutuma amezidua Mashindano ya Michezo , yanayolenga kuwaleta pamoja vijana kuangazia na kumaliza Mimba za utotoni, Dhuluma za kijinsia na dawa za Kulevya katika jamii.