Back to home
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amezindua rasmi awamu ya tatu ya mchuano wa Wavinya Cup
video
C
Citizen TV (Youtube)September 19, 2025
2h ago
Gavana wa kaunti ya Machakos Wavinya Ndeti amezindua rasmi awamu ya tatu ya mchuano wa wavinya cup unaoendelea kukuza vipaji vya mashinani kaunti hiyo.