Back to home
Waziri wa utalii Rebecca Miano azindua makala ya 32 ya mashindano ya ngamia Samburu
video
C
Citizen TV (Youtube)September 26, 2025
2h ago
Waziri wa utalii Rebecca Miano, amezindua rasmi makala ya 32 ya mashindano ya kimataifa ya Ngamia katika Uga wa Yare mjini Maralal katika kaunti ya Samburu. Miano amedokeza kuwa mashindano hayo yanachangia Kwa ukuaji wa utalii nchini.