Back to home

Mwili wa mwanamke aliyetoweka wiki jana wapatikana umepatikana katika mto wa Kipsisin

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
2h ago
Mwili wa mwanamke moja mwenye umri wa miaka arobaini na moja kutoka Kijiji ya Cheloino eneo bunge la Konoin umepatikana katika mto wa Kipsisin.