Back to home

Polisi aliyepoteza bunduki ashtakiwa Bomet

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
2h ago
Afisa wa polisi aliyepoteza Bunduki aina ya G3 ikiwa na risasi 17 mapema mwezi huu, alikana amshtaka dhidi yake alipofikishwa kizimbani katika mahakama ya Bomet.