Back to home

Chama cha ODM kinaadhimisha miaka 20

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
2h ago
Sherehe Maalum ya kuadhimisha miaka 20 tangu kuanzishwa kwa chama cha ODM imeanza rasmi huku wanachama wakiabiri treni ya ya SGR kuelekea Mombasa kwa tamasha mbalimbali zilizoandaliwa kusherehekea ufanisi wa chama hicho.