Back to home

Runinga ya Inooro yaadhimisha miaka 10 ya utangazaji

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 13, 2025
3h ago
Kampuni ya Royal Media Services imeandaa msururu wa shamrashamra za kuadhimisha miaka 10 ya utangazaji bora wa Inooro TV. Sherehe hizi zimepangwa kuwaleta pamoja watangazaji wa Inooro TV na mashabiki wao katika maeneo mbalimbali ya eneo la Kati.Tangu kuzinduliwa mwaka 2015, Inoor