Back to home
Walimu katika kaunti ya Bungoma wapinga kuhamishiwa SHA
video
C
Citizen TV (Youtube)November 13, 2025
1h ago
Chama cha walimu wa Shule za Upili na Vyuo vya kati tawi la Bungoma, kinapinga uamuzi wa serikali wa kuwahamisha walimu kutoka bima ya afya ya AON Minet hadi kwenye mpango mpya wa SHA.





