Back to home
Waziri Ogamba atetea mpito kutoka bima ya afya ya Minet hadi ya SHA
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 13, 2025
1h ago
Waziri Julius Ogamba ameutetea mpito kutoka bima ya afya ya Minet hadi ya SHA, akisema ni hatua nzuri na ya wakati muafaka inayolenga kuboresha upatikanaji wa huduma za afya kwa walimu kote nchini.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as t





