Back to home

Hofu yaongezeka Kiunga kufuatia visa vya utekaji nyara

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 15, 2025
1h ago
Wakazi wa kijiji cha Kiunga kaunti ya Lamu wanahofia usalama wao kufuatia misururu ya visa vya utekaji nyara. Wakazi hao ambao walifanya maandamano kulalamikia hali hiyo wanasema kuwa watu waliojifunika nyuso huwavamia na kutoweka na jamaa zao. Wakazi hao wanaitaka idara ya usala