Back to home

IG Kanja atangaza usajili wa makurutu 10,000 kuendelea baada ya mahakama kuondoa amri ya kusitisha

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 14, 2025
2h ago
Inspekta Jenerali wa polisi Douglas Kanja amesema zoezi la kuwasajili makurutu 10,000 sasa litaendelea baada ya mahakama kuondoa amri iliyokuwa imewekwa kusitisha shughuli hiyo kufuatia kesi iliyowasilishwa mahakamani.Kanja amesema zoezi hilo sasa litaendelea, na kuwa makurutu wa