Back to home
FKF yatangaza mechi baina ya Nairobi United na Gor Mahia kuwa sare
video
C
Citizen TV (Youtube)January 30, 2026
13h ago
Kamati ya ligi na mashindano ya FKF imeamua kwamba mechi ilitibuka kati ya Nairobi united na Gor Mahia itangazwe kuwa sare kulingana na matokeo wakati mchezo huo ulipositishwa. Katika uamuzi wa kushangaza wa shirikisho, kesi hiyo imeamuliwa na kamati ya ligi na ushindani, na wala
Advertisement
Advertisement





