Back to home

Makali ndani ya upinzani huku Malala na Natembeya wakirushiana lawama

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 15, 2025
1h ago
Mgongano umeibuka ndani ya muungano wa upinzani huku naibu kiongozi wa chama cha DCP Cleophas Malala na gavana wa Natembeya wa chama cha DAP-K wakirushiana maneno kwenye kampeni za uchaguzi. Malala anadai kuwa natembeya anatumiwa na Kenya Kwanza kuvuruga upinzani huku natembeya n