Back to home
Mgawanyiko ndani ya ODM ilidhihirika, baadhi ya viongozi wakidai njama ya kutimuliwa
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 15, 2025
3h ago
Mgawanyiko ndani ya chama ilidhihirika, baadhi ya viongozi wakidai njama ya kutimuliwa, huku wengine wakisema iwapo msukosuko huo hautadhibitiwa basi huenda chama hicho cha miaka ishirini kikasambaratika.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday.





