Back to home
Wanasiasa wasutwa kwa kuchochea wakazi Chwele/Kabuchai katika kampeni za uchaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
5h ago
Huku uchaguzi mdogo wa Wadi ya Chwele/Kabuchai unapotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba,viongozi kutoka Kaunti ya Bungoma wametakiwa kutochochea wananchi na badala yake kudumisha amani.





