Back to home

Kiwanda cha Sony sugar kitafungwa kwa mwezi mmoja kupisha ukarabati wa mitambo

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 17, 2025
5h ago
Kampuni ya sukari ya Sony imetangaza kusitisha shughuli za kutengeneza sukari Kwa Mwezi MMoja ili kukarabati mitambo katika Kampuni hiyo