Back to home
Baraza kuu la waislamu lakanusha madai ya mgawanyiko
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
5h ago
Viongozi wa Baraza kuu la waislamu eneo la pwani wamekanusha madai ya mgawanyiko katika baraza hilo na kusema kuwa wamepanga kufanya uchaguzi mmwakani.





