Back to home
Mkewe mkuu wa mawaziri atoa vivungulio vya watoto ambao hawajakomaa Makueni
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
1h ago
Huku taifa la Kenya likiungana na mataifa mengine kuadhimisha siku ya watoto wanaozaliwa kabla ya kukomaa, ipo haja ya mikakati mwafaka kuwekwa kuzuia vifo vya watoto hao.





