Back to home
Walimu KUPPET watishia kususia kazi iwapo watapuuzwa
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
1h ago
Muungano wa walimu KUPPET unataka tume ya kuwaajiri walimu TSC kuajiri walimu zaidi ya 20,000 wanaohudumu katika shule za sekondari msingi.





