Back to home

Walimu wanagenzi watisha kugoma Januari kutaka kandarasi za kudumu

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Walimu wanagenzi wa shule za sekondari msingi nchini wanatishia kugoma kuanzia januari 2026 wakitaka serikali kuwapa ajira ya kudumu. Walimu hao wanasema walitarajia kuajiriwa baada ya kandarasi yao ya mwaka mmoja kukamilika mwisho wa mwaka huu, ila hadi sasa hakuna mwelekeo mwaf