Back to home

Kindiki na Gachagua wapimana ubabe Mbeere North

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 18, 2025
2h ago
Ubabe wa Kisiasa Kati ya Aliyekuwa Naibu Rais Rigathi Gachagua na mrithi wake Profesa Kithure Kindiki unaendelea kudhihirika Katika Eneo Bunge la Mbeere North huku Kampeni za uchaguzi mdogo zikiendelea kushika kasi katika eneo hilo. Wanasiasa hao wamekuwa wakifanya kampeni mashin