Back to home
IEBC yafunga wagombea wawili Kasipul Sh1m kila mmoja kwa kuanzisha ghasia za uchaguzi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 19, 2025
9h ago
Tume ya uchaguzi na mipaka IEBC imewapiga faini ya shilingi milioni moja kila mmoja wagombea wawili wa kiti cha ubunge, Kasipul. Kamati ya uchunguzi ya iebc imewapata Philip Aroko Na Boyd Were na kosa la kusababisha mapigano kati ya wagombea wao. Wawili hao walikiuka kanuni za uc





