Back to home

Wakenya wawili bado wamezuiliwa Tanzania, mwili wa mwalimu haujaopatikana - Musalia Mudavadi

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
9h ago
Mkuu wa mawaziri musalia mudavadi amesema ni wakenya wawili pekee ambao bado wanazuiliwa na serikali ya Tanzania kufuatia ghasia za uchaguzi nchini humo. Akitoa taarifa bungeni, Mudavadi amesema serikali inawasaidia wakenya hao kupata Uhuru wao. Hata hivyo mudavadi amesema juhudi