Back to home

Mbunge wa Likuyani Innocent Mugabe azindua mradi wa nyumba za bei nafuu Nzoia

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 20, 2025
2h ago
Mbunge wa Likuayani, Innocent Mugabe,amezindua ujenzi wa nyumba 200 chini ya mpanga wa nyumba za bei rahisi zitakazonufaisha wakazi wa wadi ya Nzoia.