Back to home
Watetezi wa haki Tana River waendeleza vita dhidi ya ukeketaji
video
C
Citizen TV (Youtube)November 20, 2025
2h ago
Watetezi wa haki za mtoto msichana katika kaunti ya Tana River, wameendeleza vita dhidi ya ukeketaji msimu huu wa likizo ndefu na kuwaonya wahusika kuwa hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi yao endapo watapatikana.





